Posts

Showing posts from May 30, 2012

Asamoah na Dede Ayew nje

Image
Mshambulizi matata Asamoah Gyan hayuko kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ghana kilichotajwa na Kocha Kwesi Appia. Asamoah Gyana na Dede Ayew wote nje Gyan ameachwa nje hata baada ya shinikizo kwamba ajumuishwe kwenye kikosi cha Ghana. Wengine waliotemwa ni mwamba wa Chelsea Michael Essien na Andre 'Dede' Ayew ambaye ana jeraha. John Paintsil na aliyekuwa nahodha wa Ghana John Mensah nao pia hawamo. katiuka kikosi chake kipya kocha Appiah amewajumuisha wachezaji sita wapya wengi wakiwa wanachezea soka la kulipwa ulaya. hata hivyo amejumuisha wachezaji tisa toka ligi ya nyumbani. Asamoah Gyan aliamua kujiondoa toka timu ya taifa baada ya kushambuliwa na mashabiki baada ya uchezaji wake duni katika michuano ya kombe la bara afrika la hivi majuzi. ilikuwa inatarajiwa kwamba angelirejea katika timu kabla ya mwezi ya Juni.

POZI LA AUNT EZEKIELI

Image
Image
Waziri Aboud na Askofu mkuu  wa Anglican Tanzania Dk Valentine Mokiwa baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao pamoja na Maaskofu mbalimbali,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

BAADHI YA MAASKOFU WAKIWA WANAMSIKILIZA WAZIRI ABOUD

Image

WAZIRI ABOUD AKUTANA NA MAASKOFU LEO ZANZIBAR

Image
Image

JK AKUTANA NA MJUMBE WA BURUNDI IKULU LEO- DAR ES SALAAM

Image

JK AKIAGANA NA MAKAMU MKUU WA KWANZA WA IRANI BAADA YA MAZUNGUMZO YAO LEO IKULU

Image
Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi. Katikati yao ni mkalimani.

JK AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA IRANI

Image

NYARAKA ZA PAPA SIRI ZAVUJA

Image
Afisa mmoja wa ngazi ya juu katika makao makuu ya kanisa Katoliki mjini Vatican, amesema kuvuja kwa nyaraka za siri za kiongozi wa kanisa hilo duniani ni kitendo cha kikatili dhidi ya Papa Benedict. Afisa huyo ambaye ni naibu waziri wa mambo ya nje wa Vatican Angelo Becciu, amesema nyaraka hizo ni pamoja na fikra binafsi, na pia shutuma kali kutoka kwa watu waliomwandikia Papa barua za siri kutokana na nafasi yake ya kipekee. Nyaraka hizo zinashutumu vitendo vya rushwa na kushindania madaraka katika ngazi ya juu ya Kanisa Katoliki. Mwandishi wa BBC mjini Vatican amesema hii ni kashfa kubwa kuliko zote dhidi ya Papa Benedict tangu apate wadhifa wake huo miaka saba iliyopita, na ni tukio lililochafua Kanisa Katoliki nyakati hizi. Mhudumu mkuu wa Papa, Paolo Gabriele, amekamatwa na tume ya Vatican inachunguza watu wengine ambao wamehusika katika kashfa hiyo

SUDANI YAONDOA MAJESHI YAKE SUDANI KUSINI

Image
Sudan imewaondoa wanajeshi wake kutoka eneo la mpaka na Sudan Kusini ambalo linazozaniwa la Abyei. Hii ni kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Wanajeshi wanaolinda amani eneo hilo wamesema wanajeshi wa Sudan waliondoka Jumanne usiku. Kuondolewa kwa wanajeshi hao kunatokea wakati Sudan na Sudan Kusini wakianza mazungumzo ya amani kufuatia migogoro ya karibuni. Mazungumzo ya sasa yanaendelea nchini Ethiopia.Abyei inashindaniwa na nchi mbili, Sudan na Sudan Kusini ambayo ilipata uhuru waka mwaka 2011 kufuatia miongo miwili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Maelfu ya raia walikimbia makaazi pale wanajeshi wa Sudan walipotwaa eneo hilo kufuatia makabiliano makali na wanajeshi wa Sudan Kusini.Hadhi ya Abyei ingali kuamuliwa na kura ya maoni kuamua hilo imeahirishwa. Maafisa wa Sudan wamesema wanajeshi wake wameondolewa ili kufanikisha mazungumzo ya amani. Mazungumzo ya Ethiopia yanatarajia kuangazia masuala kadhaa ikiwemo suala la Abyei.Kuna hisia kali kutoka
Image
Image
Image

WEMA SEPETU AVISHWA PETE NA MWINYI KUTOKA MACHOZI BENDI

Image
Image
Image
Image

JK AFANYA MAZUNGUMZO NA OUATTARA JIJINI ARUSHA

Image

WAZIRI MKUU AKIWAONESHA WAKUU WA MIKO,WILAYA NA MAKATIBU MUHTASI MRADI WA NYUKI KATIKA SHAMBA LAKE HUKO DODOMA

Image

WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAKIWA WANAANGALIA MRADI WA NYUKI WA WAZIRI MKUU PINDA

Image

MRADI WA NYUKI WA WAZIRI MKUU MUZENGO PINDA HUKO DODOMA

Image

OUR MODEL MIRIAM ODEMBA

Image

kim kardashian

Image
Miriam Odemba na Kanye West ( mwanamuziki nguri huko marekani ) wamnyima raha kim kardashian.
Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini Saidi Mwema ............................................................ JESHI la Polisi nchini limeingia katika kashfa nyingine baada ya kijana Charles Patrick Paulo mkazi wa kijiji cha Mundemu wilayani Bahi mkoani Dodoma kulishushia tuhuma nzito za kupora fedha na kumbambikia kesi ya unyang’anyi. Kesi hiyo iliyoendeshwa kasi ilimtupa jela miaka 15 kabla ya kuachiwa huru miezi sita baadaye baada ya kushinda rufaa. Julai 20 mwaka jana, Paulo alitiwa hatiani na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Mundemu F. Bulyota kwa shitaka la unyang’anyi kifungu namba 286 K/A Sura 16 na kutupwa jela kwa miaka 15. Hukumu hiyo ilianzisha safari mpya ya maisha kwa kijana Paulo ambaye aliachana na maisha ya uraiani akimuacha mchumba wake, Upendo Masila akiwa na ujauzito wa miezi miwili huku yeye akipelekwa katika Magereza ya Isanga kuanza kutumikia kifungo chake. Lakini kwa vile alijua kuwa hukumu yake imetokana na uonevu wa Polisi, wiki moja baadaye kijana Paulo a

TUHUMA NZITO JESHI LA POLISI

Image

BREAKING NEWS

Image
Charles Taylor rais wa zamani wa liberia amehukumiwa miaka 50 jera

IT IS CONFIRMED.

Liverpool new manager ia Brendan Rodgers

Balotelli: I'd kill someone if they racially abused me on the street

The Manchester City forward also claims that he will simply "go home" if subjected to racist behaviour while on the pitch for his country in this summer's Euro 2012
Hashim Thabeet awasisi vijana waachane na madawa ya kulevya live at clouds fm sikiliza sasa at www.teentz.com
Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akizungumza na wajumbe walioongozana na Waziri wa Maendeleo wa Finland, Heidi Hautala (wa  pili kutoka kwa Makamu). TAARIFA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amekutana na Waziri wa Maendeleo wa Finland Mheshimiwa Deidi Hautala ambapo wamezungumzia masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano na maendeleo wa nchi hizi mbili. Katika mazungumzo hayo Dk. Bilal alimweleza Waziri huyo hatua zinazochukuliwa na serikali ya Awamu ya Nne katika kufikia dira ya Taifa ya maendeleo 2025 ikiwa ni pamoja na kutekeleza kauli mbiu ya kilimo kwanza na kuhakikisha kila mtoto anapata elimu. Alisema katika kutekeleza kilimo kwanza, serikali inafanya jitihada ya kuhakikisha maafisa ugani wa kutosha wanapatikana ili kusaidia wakulima vijijini kujua mbinu bora za kilimo cha kisasa na namna zitakavyowawezesha kuzalisha kwa tija. “Hata hivyo, tunajaribu kuongea na

Mh. Vuai Ali Vuai

Image
ZANZIBAR, 29-5-2012. Chama cha Mapinduzi kimetoa shindikizo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kumtaka  Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Abubakar Khamis Bakar ajiuzulu kwa madai ya kushindwa kuishauri vizuri serikali katika suala la kudhibiti asasi za kiraia ikiwemo uamsho.      Aidha chama cha mapinduzi kimetaka kufutwa mara moja kwa jumuiya ya uamsho kwa sababu imekwenda kinyume na malengo yake ya kuanzishwa kwa taasisi hiyo ambayo kazi yake kutoa elimu kuhusu mihadhara ya dini ya kiislamu tu.      Akizungumza na waandishi wa habari hapo makao makuu ya CCM Kisiwandui mjini Unguja, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali Vuai amesema leo, kuwa  kikundi cha kutoa mihadhara ya dini ya kiislamu cha Uamsho kimesajiliwa kwa ajili ya kutoa mihadhara ya mambo ya dini tu na sio kujishungulisha na siasa za majukwaa ikiwemo kuwahoji wananchi kuhusu uhalali wa muungano na kuwakashifu viozngozi wa serikali ikiwemo waasisi wa taifa hili.    

JK NA ALLASANE OUATTARA HUKO ARUSHA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Allasane Outtara wa Ivory Coast wakati akimpokea katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro, Rais Outtara ni mmoja wa wageni mashuhuri wanaohudhuria mkutano wa AFBD unaoendelea mjini Arusha.

UFAFANUZI WA SERIKALI YA MUUNGANO - MWALIMU JULIUS K. NYERERE

Image
Nchi mbili zinapoungana na kuwa nchi moja mifumo ya kawaida ya katiba ni miwili; Muungano wa serikali moja, au shirikisho la serikali tatu. Kwa mfumo wa kwanza kila nchi itafuta serikali yake,na nchi mpya inayozaliwa itakuwa ni nchi moja yenye serikali moja. Katika mfumo wa pili kila nchi itajivua madaraka Fulani ambayo yatashikwa na serikali ya shirikisho na itakuwa na serikali ambayo itakuwa na mamlaka juu ya mambo yaliyobaki. Mambo yatakayoshikwa na serikali ya shirikisho ni yale ambayo yakibaki katika mamlaka ya nchi zilizoungana, basi kwa kweli nchi hizo zitakuwa hazikuungana kuwa nchi moja, basi zinaendelea kuwa nchi mbili zenye ushirikiano mkubwa katika mambo Fulani Fulani. Nchi za Afrika Mashariki zilikuwa katika hali kama hiyo kabla ya kuvunjika kwa jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Zilikuwa ni nchi tatu zenye ushirikiano mkubwa, lakini hazikuwa nchi tatu zilizoungana kuwa Nchi moja yenye muundo wa shirikisho. Shirikisho halisi la nchi mbili litakuwa ni nchi moja y

Mh. Zitto na Balozi wa zamani wa Marekani Tanzania Mark Green

Image
UFAFANUZI WA MAMBO MBALIMBALI YALIYOPOTOSHWA NA MHE. ZITTO ZUBERI KABWE – NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA KATIKA HOTUBA YAKE ALIYOITOA KWA WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI 1.                 KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA Katika hotuba yake anadai kwamba mchakato wa Katiba Mpya unaoendelea hivi sasa unatokana na shinikizo la CHADEMA, Asasi za kiraia na viongozi wa dini.           UFAFANUZI Huo ni upotoshaji mkubwa na wa wazi kabisa unaolenga kufuta historia sahihi ya mchakato wa uandikaji au upatikanaji wa Katiba Mpya unaoendelea hivi sasa. Ni jambo lililo dhahiri kabisa kwamba mchakato wa Katiba Mpya ni utekelezaji wa hotuba ya Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyoitoa katika salamu za kuaga mwaka 2010 kukaribisha mwaka 2011 na baadaye katika sherehe za Chama Cha Mapinduzi kutimiza miaka 34 Mjini Dodoma.   Hili ndilo chimbuko halisi la hoja ya Katiba Mpya. Akitoa maamuzi hayo alisema Ka
Image
Wabunge wa Chadema, Mhe. Peter Msigwa wa pili kushoto, Mhe. Nassari Joshua Al-Marufu Dogo Janja, (wa tatu kulia), Ofisa wa Ubalozi, Kaimu Balozi Mhe. Lilian Munanka pamoja na viongozi wa tawi la Chadema Washington DC wakipata picha ya pamoja na balozi Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kumtembelea
Image
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akipata picha ya pamoja na Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Peter Msigwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.

Wabunge pamoja na viongozi wa tawi la chadema Washington.

Image

AMANI ZANZIBAR YAREJEA.

Image
 Jeshi la polisi waadhimia kurejesha amani Zanzibar. IGP Mwema na Mh. Aboud wa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamejipanga vilivyo kuhakikisha usalama na amani unapatikana visiwani humo.Mohamed Aboud pamoja na viongozi wa dini jana walitembelea maeneo yaliyoshambuliwa katika vurugu zilizotokea visiwani humo.Na wanaotuhumiwa kwa vurugu hizo wamefikishwa Mahakamani jana.

At ministry of health compound ( katika mgomo wa chakula katika institite of allied health science )

Image
Image
A new website of Chadema political party visit www.chadema.or.tz you will find anything you want to know about Chadema. . M4C ( MOVEMENT FOR CHANGE )

A NEW MANAGER?

Image
Brendan Rodgers   has emerged as the leading candidate to become new  Liverpool manager as the Reds prepare a second formal approach for the  Swansea boss.
Image
Leo Mh. John Shibuda ataongea na Times Fm Live jioni kwenye mida ya saa kumi kuhusiana na maneno yake aliyoyasema kwamba 2015 atagombea urais na anataka Mh. Jakaya Kikwete kuwa campaign manager. Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ( RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA )
Wadau msipende kujiunga na chama cha Freemason kwani ukiingia humo hautoki makao makuu yao yapo Lagos Nogeria kwa hapa Africa na ndio wanao ongoza dunia sasa hivi na ndicho chama kilicho tabiriwa hata kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia  ni chama cha wanao abudu shetani kwa kifupi Ibilisi nimeandika haya kwa sababu nawapenda wote na nataka wote tumuabudu mwenyezi mungu kwani yeye ndio mpaji wa vyote.

Manchester united ni klabu inayoongoza kwa umaharufu duniani.

Image
Manchester United ina jumla ya mashabiki milioni  659 duniani kote: - 71 million in Americas - 90 million in Europe - 173 million in Africa and the Middle East - 325 million in Asia

Walio wahi kushinda taji la ligi kuu Tanzania Bara.

965 : Sunderland (Dar es Salaam) 1966 : Sunderland (Dar es Salaam) 1967 : Cosmopolitans (Dar es Salaam) 1968 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1969 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1970 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1971 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1972 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1973 : Simba SC (Dar es Salaam) 1974 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1975 : Mseto Sports (Dar es Salaam) 1976 : Simba SC (Dar es Salaam) 1977 : Simba SC (Dar es Salaam) 1978 : Simba SC (Dar es Salaam) 1979 : Simba SC (Dar es Salaam) 1980 : Simba SC (Dar es Salaam) 1981 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1982 : Pan African FC (Dar es Salaam) 1983 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1984 : KMKM (Zanzibar) 1985 : Maji Maji FC (Songea) 1986 : Maji Maji FC (Songea) 1987 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1988 : Coastal Union (Tanga) 1989 : Malindi FC (Zanzibar) 1990 : Pamba (Mwanza) 1991 : Young Africans FC (Dar es Salaam) 1992