Posts

Showing posts from January 24, 2013

RAIS KIKWETE AMALIZA ZIARA YAKE YA UFARANSA JANA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Orly, Ufaransa, baada ya kumaliza ziara yake ya kiserikali ya siku tano nchini humo leo Januari 23, 2013 PICHA NA IKULU