Posts

Showing posts from August 8, 2012

SIMBA DAY YADORORA

Image
Mchezaji wa timu ya Simba akimiliki mpira mbele ya beki wa timu ya Nairobi City Stars katika mchezo wa kirafiki wa tamasha la Simba Day lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa Tamasha, hilo limeandaliwa na klabu ya Simba na hufanyika  kila mwaka Agosti 8 na kushirikisha timu marafiki wa klabu hiyo huku wachezaji na viongozi mbalimbali wakipewa zawadi kwa mchango wao kwa klabu hiyo, Katika mchezo wa leo, hivi sasa mpira umekwisha na Simba imefungwa magoli 3-1 na timu  ya Nairobi City Stars kutoka nchini Kenya.  Benchi la ufundi la timu ya Nairobi  City Stars kutoka nchini Kenya kama linavyoonekana. Benchi la ufundi la timu ya Simba kushoto ni kocha wa timu hiyo Bw. Milovan Cirkovic Kikosi cha timu ya Simba kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo kiliongozwa na Juma Kaseja( GK) Kikosi cha timu ya Nairobi City Stars kutoka Kenya kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo. Mchezaji wa timu ya Simba kutoka nchini

MIFUGO

Image
Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Meatu alipotembelea pori la akiba la Maswa.Nyuma yake ni mbunge wa jimbo la Kisesa mkoa wa Simiyu. Mkuu wa wilaya ya Meatu, Rosemary Kirigini akitoa taarifa yake ya maendeleo ya pori la akiba Maswa kwa naibu Waziri Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu aliyetembelea pori hilo. Mbunge wa jimbo la Kisesa wilaya ya Meatu Mh. Mpina akitoa salamu zake kwa wafanyakazi na viongozi wa pori la akiba Maswa. Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa pori la akiba Maswa. Naibu Waziri wa Maliasli na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu (kushoto) akibadilishana mawazo na mbunge wa jimbo la Kisesa mkoa wa Simiyu Mh. Mpina muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa pori la akiba la Maswa. Baadhi ya viongozi waliofuatana na naibu waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu kwenye boti kwenda kukagua mae