Posts

Showing posts from May 29, 2012

Balotelli: I'll buy you dinner if you find another guy like me

Image
forward Mario Balotelli has argued that it is difficult for people to work him out because so few know what it is like to possess his God-given talent. Despite his undoubted ability on the pitch, the 21-year-old has already been involved in innumerable spats and controversies in his fledgling career. Now, the Manchester City striker has suggested that the fault lies not with him, but with those who he feels are unable to fully comprehend what it's like to be so gifted. "I'm different," Balotelli told France Football . "If you find another guy like me, I'll buy you dinner. "It's because there are few people with this talent who can judge what I do. The gift God has given me is beautiful, magnificent, but it's difficult to handle because you're always confronted by other people who are ready to judge you. "It's not easy, but it's not a drama. Those who don't understand me don't interest me." Despi

NUKUU YA ZITTO KABWE

''Vurugu zinazoendelea Zanzibar zinasononesha sana. Kitendo cha kuchoma moto kanisa ni uchokozi wa dhahiri kwa lengo la kuimarisha zaidi chuki na kuondoa mjadala katika suala la Muungano kwenda suala la Dini. Wanaosali kanisani ni pamoja na wananchi wa kawaida kabisa ambao hata hawahusiki na uamuzi kuhusu Muungano. Kwa nini kuchoma Kanisa nyumba ya Ibada. Polisi pia kutumia nguvu ya mabomu hakuzimi harakati. Serikali 'must engage' UAMSHO. Kama madai yao ni 'genuine' yajadiliwe mezani. Vurugu za aina yeyote zilaaniwe kwa nguvu zote. Tuzungumze. Tujadiliane. Ikibidi tukubaliane kutokubaliana''.

HASHEEM THABEET U17 BASKEKTBALL CLINIC IN JUNE 1-2 YEAR 2012

Image

Wafuasi wa chadema wakitoka mahakamani mapema leo

Image
Image
Jumapili hii kulikuwa na bonanza la mchezo wa mpira wa miguu hapa Arusha ambapo timu ya Arusha Wazee Sports Club iliialika timu ya Bunge la Kenya kwenye mchezo wa kirafiki. Timu nyingine mbili za Bunge la Afrika Mashariki na TGT Arusha zilishiriki bonanza hilo ambapo timu ya Arusha Wazee iliibuka kidedea na kujinyakulia kombe baada ya kuwafunga Wabunge wa Kenya 5-3 kwa mikwaju ya penalt. Baada ya hapo kukafanyika tafrija kubwa ya msosi na vinywaji pamoja na muziki uwanjani hapohapo. Shukrani ziwaendee Bunge la Afrika Mashariki, TBL na Tanzania Distilleries Ltd walioshirikiana na Wazee kufadhili bonanza hilo, Bunge la Kenya sasa limeialika timu ya Wazee Arusha kwenda Mombasa kwa ziara ya kirafiki ya kimichezo mwishoni mwa mwezi wa Agosti wakati wa Mombasa Agricultural Show ili kuimrisha ushirikiano ndano ya Jumiya ya Afrika Mashariki.

Bonanza la wazee Arusha Lafana

Image

kituo cha msaada Tanzania kuivaa taasisi ya raia India kwa kukiuka haki za binadamu

Image
Mwanaharakati kutoka kituo cha msaada wa sheria wanawake na watoto mkoani Iringa Bw Jackson Gaso ambaye amejitolea kupambana na raia wa India anayemiliki taasisi ya mikopo ya Brac kwa kunyanyasa wanawake Iringa

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Date: 29/05/2012 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Umma unashuhudia hali tete ya machafuko ambayo hayakutarajiwa yakiibukia tena Zanzibar, wakati ambapo Nchi ilishaanza kunawiri matunda ya utulivu na maridhiano, chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Pamoja na sababu au visingizio mbali mbali vilivyotajwa kuwa chanzo cha hali hiyo, zikiwamo za hamasa za wananchi, chuki binafsi, ukosefu wa hikma, matumizi ya nguvu za dola, na hata uchochezi wa makusudi wa wale wanaoonekana kutopendelea Maridhiano ya Kisiasa ya Zanzibar. Kwa thamani yoyote hakuna asiyeweza kubaini umuhimu wa hali ya amani na utulivu, na madhara ya kukosekana kwake, hasa katika Visiwa hivi vya Unguja na Pemba ambavyo vimewahi kuelemezewa athari kubwa ya machafuko kwa muda mrefu. Chama cha Wananchi,CUF, kama sehemu muhimu ya Umma wa Watanzania, hakiwezi kukaa kimya kutokana na mwelekeo mzima wa hali tete ya amani katika nchi, ingawa ni dhahiri wapo baadhi ya watu wasioitakia mema Zanzibar wakibainika kufu

KATUNI

Image

Hivi huku ndipo tulipofikia

Image

kaka Raphael Francis Mallaba at Nkurumah hall

Image
Image
Image
Image
Image
Image
Image
Image
Image
Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Habari wa BASATA Godfrey Lebejo akisisitiza jambo wakati akihitimisha programu ya Jukwaa la Sanaa wiki hii. Aliwataka wasanii kuongeza thamani katika kazi wanazozalisha

BASATA YAWATAKA WASANII KUONGEZA THAMANI KATIKA KAZI ZAO

Image
Mtendaji Mkuu wa asasi ya Musoma Handcrafts Haroun Sabili akitoa elimu kwa Wasanii na Wajasiriamali wa Sanaa za mikono kwenye programu ya Jukwaa la Sanaa wiki hii.
Image
Image
Mke wa marehemu akilia kwa uchungu.…
Image
Marehemu akionekana kwa nyuma.
Image
Jamaa akiwa ananing’inia muda mchache baada ya kujinyonga.
Image
Chuolife leo ilipata nafasi ya kuzungumza na makamu wa raisi wa COBESO na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:- CHUOLIFE; Wana CBE watarajie nini kutoka kwenu? LUTEMA;Wana CBE watarijie yale  yote tuliyo yaorodhesha katika manifesto kipindi cha kampeni CHUOLIFE; Mmefikiria kuwashirikisha wapinzani katika serikali yenu? LUTEMA; Tutawashirikisha wapinzani ikiwa watakubali mabadiliko, CHUOLIFE; Una wambia nini wana CBE? LUTEMA; Napenda kuwaambia kwamba, serikali yetu ni serikali ambayo haina ubaguzi,na ipo kwa ajir ya wanafunzi a CBE, watupe ushirikiano katika kuijenga CBE na kukuza mahusiano kati ya wana CBE na jamii kwa ujumla Wakati huohuo COBESO imetangaza makatibu wa kuu wa  wizara na wasaidizi wao, majina ya makatibu wa kuu na wasaidizi wao ni kama ifuatavyo  Ministry of education and academic affairs          -Joseph Antony          -Peter Maiga Ministry of finance           - Kiange  Emmanuel Ministry of sports and games           -Rolland Revocatus Kessy        

Mdau Shabani at Muhimbili hospital

Image
Image
BEKI mahiri wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya England, Sol Campbell, amewaonya mashabiki wa England wanaotazamia kwenda kushuhudia fainali za Euro 2012, kuwa wasisafiri vinginevyo �wataishia kurudi katika majeneza�. Campbell anaamini kwamba kwenda nchi za Ukraine na Poland wakati huu ni kujitaharisha kwa kiasi kikubwa kutokana na nchi hizo kukabiliwa na vurugu pamoja na ubaguzi wa rangi. Nyota huyo wa zamani wa Tottenham ambaye aliichezea England mechi 73, alisisitiza kwamba Shirikisho la Soka la Ulaya (Uefa) limechemsha kupeleka michuano mikubwa na yenye sifa kama hiyo katika nchi hizo. �Bakini nyumbani, tazameni katika televisheni. Msijihatarishe kabisa kwa sababu mtaishia kurudishwa katika majeneza. Nadhani walichemsha (Kupeleka michuano hiyo nchini za Poland na Ukraine), kwa sababu wangewaambia �Kama mnataka tulete michuano hii huku malizeni matatizo hayo�.� Alisema Campbell. �Wangewaambia �mpaka mmalize matatizo yenu, kamwe hatuwapi michuano hii. Hamstahili m

Nizar Khalfani

Image
KIPA Mghana, Yaw Berko, amesaini mkataba mpya na Yanga huku kiungo, Nizar Khalfan, naye akimwaga wino Jangwani kuitumikia klabu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja. Mbali na hao, Mwanaspoti linajua kwamba Yanga imefanya mazungumzo na mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Said Bahanuzi, lakini bado hajasaini mkataba wowote. Habari za kuaminika kutoka ndani ya Kamati ya Usajili ya Yanga, zinasema kuwa Nizar alisaini Yanga hata kabla ya kufanya mazungumzo na Simba ambayo ilitaka kumtambulisha hivi karibuni. Mmoja watenda
Image
TATIZO LA MADAWATI IRAMBA MAGHARIBI LINAELEKEA UKINGONI ,MH.MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU(MBUNGE WA IRAMBA MAGHARIBI)AKIKABIDHI MSAADA WAKE WA MADAWATI KATIKA KATA 17 ZA JIMBO ZIMA,MADAWATI 100 KILA KATA YAANI KWA KWELI NIMEMPONGEZA SANA ZAIDI YA SANA WANANCHI WA IRAMBA WAMEAHIDI NAO KUCHANGIA MADAWATI 400 HILI KUMUUNGA MKONO KATIKA KUTATUA TATIZO SUGU LA MADAWATI KATIKA JIMBO LAKE LA IRAMBA ...VIVA MWIGULU,IRAMBA YA KWAKO DAIMA.UNAFANYA VYEMA KWA KWELI WANAOKUBALI WAKUBALI WANAOKATAA WAKATAE..SONGELA ZIGI ZIGI MBUNGE WETU .

Mh.Mwigulu nnchemba alipotembelea hospitali ya wilaya ya ilamba

Image

Nape NNauye akizungumza na viongozi katika ofisi ya ccm mkoa wa kagera

Image

Nape NNauye akishuka kwenye Ndege mkoa wa Kagera huko Bukoba tarehe 26 May 2012

Image

BLOG MPYA YA WAJANJA YENYE KUELIMISHA NA KUBURUDISHA.

Mwanzo ni mgumu,daima tutafika.