Chuolife leo ilipata nafasi ya kuzungumza na makamu wa raisi wa COBESO na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:-
CHUOLIFE; Wana CBE watarajie nini kutoka kwenu?
LUTEMA;Wana CBE watarijie yale  yote tuliyo yaorodhesha katika manifesto kipindi cha kampeni
CHUOLIFE; Mmefikiria kuwashirikisha wapinzani katika serikali yenu?
LUTEMA; Tutawashirikisha wapinzani ikiwa watakubali mabadiliko,
CHUOLIFE; Una wambia nini wana CBE?
LUTEMA; Napenda kuwaambia kwamba, serikali yetu ni serikali ambayo haina ubaguzi,na ipo kwa ajir ya wanafunzi a CBE, watupe ushirikiano katika kuijenga CBE na kukuza mahusiano kati ya wana CBE na jamii kwa ujumla

Wakati huohuo COBESO imetangaza makatibu wa kuu wa  wizara na wasaidizi wao, majina ya makatibu wa kuu na wasaidizi wao ni kama ifuatavyo
 Ministry of education and academic affairs
         -Joseph Antony
         -Peter Maiga
Ministry of finance
          - Kiange  Emmanuel
Ministry of sports and games
          -Rolland Revocatus Kessy
          -Sajidu Elias
Ministry of external affairs
          -Maria  B Mwalongo
Ministry of information
          -Daniel Daudi
Ministry of health and cafeteria
          -Hipolit Mvuyekule
          -Godfrey  G Otieno
Ministry of night college program affairs
           -Yusuph K Hassani
Ministry of sponsorship
           Chishimba Mwasambungu
Ministry of social and cultural affairs
           - Mickidadi Mwipopo
           -Evanuru Isack
Ministry of women ethics and women affairs
           -Naomi Mathias
Ministry of accomodation
           -Bernard Bavu
Ministry of constitution, justice and legal affairs
           -Morgan George
Ministry of security and good relationship
            -Maximillian Masawe
Ministry of enviromental affairs
            -Azibeth Josiah

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA