Posts

Showing posts from January 13, 2013

MATUKIO YA PICHA KATIKA KILELE CHA MAPINDUZI UWANJA WA AMANI MJINI ZANZIBAR

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikagua gwaride la Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.{Picha na Ramadhan Othman,IKULU.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wakati alipomaliza kukagua gwaride la  Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.{Picha na Ramadhan Othman,IKULU.] Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zabzibar.{Picha na Ramadhan Othman,IKULU.] Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikipita na kutoa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa M

MKUTANO WA MAWAZIRI NA MAKATIBU WA KUJADILI CHANGAMOTO ZA MUUNGANO ZANZIBAR LEO

Image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Maendeleo Zanzibar  Omary Yusuph Mzee akizungumza na Waziri wa Fedha Uchumi na Mipango wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. William Mgimwa wakati wa mkutano huo. Mwenyekiti wa mkutano kujajidili changamoto za muungano Mh. Mohamed Aboud Mohamed Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,na mwenyekiti mwenza Mh Samia Suluhu Hassan Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais muungano wakijadili jambo wakati kwa mkutano huoPicha zote na Ali Meja Ofisi ya makamu wa Rais