MATUKIO YA PICHA KATIKA KILELE CHA MAPINDUZI UWANJA WA AMANI MJINI ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikagua gwaride la Vikosi
vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja.{Picha na Ramadhan Othman,IKULU.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wakati alipomaliza
kukagua gwaride la  Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za
kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo
katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.{Picha na Ramadhan
Othman,IKULU.]
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika
sherehe za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zabzibar.{Picha na
Ramadhan Othman,IKULU.]
Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikipita na kutoa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Maraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya mapinduzi ya Zanzibar hapo jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi, zilizofanyika jana kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ameir Pandu Kificho, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar jana kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar jana kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza  na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar jana kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA