Posts

Showing posts from August 28, 2012

Cecafa-Tusker Cup at Serena Hotel Kampala

Image
Uganda Breweries Marketing Director Lemmy Mutahi  (C ) handing over a dammy cheque to Cecafa General Secretary Nicholas Musonye. Extreem right is FUFA Vice President Livingstone Kyambadde in Kampala on Tuesday. Cecafa General Secretary Nicholas Musonye receives a this year’s Cecafa-Tusker cup from EABL (U) Marketing Director Lemmy Mutahi at Serena Hotel Kampala on Tuesday. On the right is FUFA Vice President Livingstone Kyambadde. Cecafa General Secretary Nicholas Musonye chats with the Cecafa Founder Member Kezekia Ssegwanga Musisi before the official launch of this year’s Cecafa-Tusjker Cup 2012 at serena Hotel Kampala Tuesday

Launch of the Cecafa-Tusker Cup 2012 in Uganda

Image
Cecafa General Secretary Nicholas Musonye receives a this year’s Cecafa-Tusker cup from EABL (U) Marketing Director Lemmy Mutahi at Serena Hotel Kampala on Tuesday. On the right is FUFA Vice President Livingstone Kyambadde. Tusker Lager, one of the region’s major sports sponsors have this Tuesday announced a sponsorship package of USD 450,000 (About UGX 1.125.000.000) towards this year’s CECAFA –Tusker Cup to be hosted in Kampala. The Council of East and Central Afric a Football Association (CECAFA) has also fixed November 24 as the kick off date at Mandela National Stadium Namboole. The tournament will run through December 8. Cecafa General Secretary Nicholas Musonye who flew to Kampala on Monday attended the well organized event. Unpacking the sponsorship during the Break Fast meeting at Serena Hotel in Kampala, Lemmy Mutahi the EABL (U) Marketing Director said the decision was taken with an ultimate aim of catapulting East African

PICHA ZA INTERVIEW YA MILLARD AYO NA CMB PREZZO ON CLOUDS TV.

Image
Ni interview ambayo itaonekana Clouds TV, hii ni wakati Prezzo alipofika Moshi kwa ajili ya kufanya show ya Serengeti Fiesta. Baadhi ya aliyoyaongea ni pamoja na kwenda Nigeria kuwaomba msamaha Wanigeria kuhusu Goldie waliekua pamoja kwenye Big Brother. . . .

NAPE AIKOMALIA CHADEMA

Image
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye amewataka Chadema kwenda mahakamani haraka badala ya kusubiri kuombwa radhi kama walivyotaka ili kusafishwa dhidi ya madai ya chama chao kupewa mabilioni ya fedha na mataifa tajiri. Aidha amemtaka Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Wilbrod Slaa kuiomba radhi CCM la sivyo itamburuza mahakamani kudai fidia ya sh. bilioni 3 na shilingi moja, kwa kuituhumu uongo kwamba imeingiza silaha kutoka nje  ya nchi tena bila kulipia ushuru. Nape alisema hayo leo Agosti 27, 2012, kweneye mkutano wake na waandishi wa habari, uliofanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. "Bila shaka mmesikia jana Chadema wakinitaka niombe radhi au wananipeleka mahakamani kudai fidia ya sh. bilioni 3, kwa madai eti nimesema Chama hicho kinapata  mabilioni ya fedha kutoka kwa mataifa tajiri. Mkubwa hatishiwi nyau, nawataka waende haraka mahakamani wala wasisubiri hizo siku saba", alisema

MSIMAMO WA MNYIKA JUU YA MAUAJI MOROGORO

Image
Niliwahi kutahadharisha baada ya tukio la Dkt Stephen Ulimboka kuwa serikali imeanza kutumia mbinu haramu kudhibiti fikra mbadala, CCM imeanza kuongoza serikali kiimla na ipo siku umma utafikia hatua ya kukiona kama chama cha mauaji. Raia watatu wasio na hatia wamefyatuliwa risasi na mmoja amefariki. Haya yamefanyika kwenye maandamano ya amani ya wananchi kuwapokea viongozi wa CHADEMA kuelekea kwenye mkutano. Vurugu zimeanzishwa na polisi kwa mujibu wa mashuhuda wa ushahidi wa video. Vyanzo vyangu vinaniambia sasa wameagiza gari tatu za FFU na gari za kuwasha toka Dar Es Salaam. Tuombe MUNGU wasiamue kuvuruga mkutano wa hadhara ambao wananchi wamekusanyika kwa wingi hivi sasa. States captured by grand corruption of the ruling party cronies for so many years’ resorts to bullets as a way of stopping M4C through the ballot. Maisha ya wachache yako mashakani lakini si mabadiliko kwa maslahi ya  wengi. John John MNYIKA, 27 Ag

KIZAA ZAA CHA M4C MOROGORO

Image
Daima panapotokea vurugu au vita wanao athirika zaidi ni akina mama na watoto, na hii ndio hali hali ilivyokuwa hii leo mjini Morogoro ambapo Mama na mtoto, uchungu wa mwana aujuae mzazi, hapo kila mtu aliweza namna ya kujisalimisha na moshi wa mabomu baada ya kupigwa. Askari akikimbilia gari baada ya kuanza kwa ufyatuaji wa mabomu katika eneo hilo Mkuu wa Operesheni Sangara-Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) BENSON KIGAIYA akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wa FFU 5 huku qwengine wakinyatia kwa pembeni. Akiambulia makofi ya mgongo na makalio.  Boda Boda akimpa maji mtoto wa kike ili aweze kunawe kupunguza moshi wa mabomu yaliyopigwa na askari wa FFU wakati wakitawanya wanachadema ili wasiandamane katika kituo cha mafuta cha BP Msamvu.  Huyu naye alikuwa akitembea huku gari la FFU likiwa nyuma yake baada ya kupigwa kwa mabomu eneo hilo la Msamvu.  Mmoja wa kiongozi wa Chadema akitiwa nguvuni wakati wa maandamano hayo yanaendelea wakati wakielek