Posts

Showing posts from June 3, 2012
Image
Rais Kikwete akiongozana na ujumbe uliofuatana na Rais, Sheikh Shariff Ahmed wa Somalia.

JK NA RAIS WA SOMALIA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Somalia, Sheikh Shariff Ahmed.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILALI AZINDUA MAADHIMISHO SIKU YA MAZINGIRA- DUNIANI-KILIMANJARO

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akipanda mti aina ya Mroliondo katika eneo la Chem chem ya Maji Njoro,leo Juni 03, 2012,  ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika  Kitaifa Mkoani Kilimanjaro. Kwa muda mrefu sasa, Makamu wa Rais amekuwa mwanamazingira aliye mstari wa mbele katika usimamizi na uboreshaji wa mazingira na hali ya hewa kwa ujumla. Amekuwa akishiriki katika ziara mbalimbali za kimazingira na hali ya hewa ndani na nje ya nchi.

CHICHARITO

Image

NEW

UP TO NOW MEXICO 2 BRAZIL  0  scores are Giovan Dos Santos at 22 minutes  and Chicharito at 33 minutes of first half of the game.

MH.NDUGAI AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI KOREA KUSINI

Image
Mh Ndugai akizungumza na watanzania waishio korea ya kusini katika ukumbi wa chuo kikuu cha dongkukk wakati alipoa alikwa kutoa mada katika mchango au mada inayohusu MCHANGO NA NAFASI YA WATANZANIA WAISHIO NJE KATIKA BUNGE  kushoto katika meza kuu ni mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania waishio nchini korea ya kusini  ndugu Emmanuel lupilya,na kushoto ni katibu wa jumuiya hiyo ndugu Msofu.