Posts

Showing posts from August 13, 2012

TWITE AMVURUGA RAGE

Image
Klabu ya Yanga imemtaka mwenyekiti wa Simba sports club kuthibitisha madai kuwa club hiyo inamtumia mtoto wa kigogo wa serikali ili kuwahujumu kauli ya Rage ilikuja siku moja baada ya  Yanga kumsajili beki wa timu ya APR ya Rwanda Mbuyi Twite wa kushoto kwenye picha hapo juu ambaye pia Simba inadai kuingia naye mkataba.( mchezaji wa kimataifa Mbuyi Twite wa kushoto akiwa na mjumbe wa kamati ya utendaji wa Yanga ndugu Bin Kleb wa kulia )

AMERUDI...

Image
Dr. Ulimboka Stephene amerudi nchini Tanzania Jana baada ya kupelekwa  hospitali moja huko Afrika ya kusini miezi miwili iliyopita kwa kipigo alichopata na watu wasio fahamika na kwa sababu hiyo ulinzi mkali umewekwa nyumbani kwa ulimboka eneo la ubungo huku vijana watatu walioonekana wamevaa nguo za kawaida walikuwa wanaranda randa maeneo ya nyumba ya doktari hyo kwa lengo la kuangalia watu wanapita na kutoka nyumbani humo. Dr. Ulimboka alitekwa na kufanyiwa vitendo hivyo vya kinyama wakati akiwa akiratibu mgomo madaktari uliokuwa ukiendelea na aliokotwa na msamaria mwema akiwa amefungwa mikono na miguu akiwa katika hali mbaya.

VODACOM YATOA MSAADA NA KUFUTURISHA WATOTO WALEMAVU

Image
Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi katoni ya chumvi Mtoto mwenye ulemavu wa kutokuona Husna Rajabu, kwa niaba ya watoto wenzake ambao ni walemavu wasiona na wanaoona wa shule ya Nyangao iliyopo Lindi Vijijini Mkoani Lindi,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha na kutoa misaada mbalimbali inayoendeshwa na Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Ramadhan Care & Share wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,alieshikilia mbuzi kushoto ni Meneja wa Vodacom Foundation Bi.Grace Lyon. Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi ndoo ya mafuta ya kula John Swai kwa niaba ya watoto wenzake ambao ni walemavu wasiona na wanaoona wa shule ya Nyangao iliyopo Lindi Vijijini Mkoani humo,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha na kutoa misaada mbalimbali inayoendeshwa na Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Ramadhan Care & Share wakati huu wa mfungo wa

UZINDUZI WA JALIDA LA ILALA

Image
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (katikati) akizungumza wakati alipozindua jarida la ‘SAUTI YA ILALA’ ambapo amesema kwa sasa halmashauri hiyo inajiendesha kisasa sana, wanakusudia kuwa na jarida ambalo kweli litafanya kazi ya kuitangaza Ilala, na kufikisha ujumbe si tu kwa wananchi wa Ilala bali kwa Jamii nzima. Aidha amewataka wafanyabiashara wa Ilala kujitangaza katika gazeti hilo ili fedha zitakazopatikana sio tu zitalipia gharama za uchapishaji bali fedha zitakazobakia zitatumika kuboresha utoaji wa huduma kwa jamii. Kulia ni  Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Paul Wanga na Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Tabu Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni 361 Mustafa Hassanali, Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Kheri Kessy. Wageni waalikwa wakipitia toleo la zamani la Jarida la Sauti ya Ilala kabla ya uzinduzi rasmi. Pichani Juu na Chini ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (wa tatu kulia) na

SHEREHE ZA KUFUNGA MASHINDANO YA OLYMPICS ZILIVYOFANA JIJINI LONDON

Image
British singer Annie Lennox performs 'Little Bird' aboard a giant wooden gallion during the Closing Ceremony Mods: The Kaiser Chiefs perform The Who's Pinball Wizardon scooters during the Olympic Games Closing Ceremony   Comeback: Pop icon George Michael performed Freedom as well as his new single White Light The reclusive singer took to the stage to perform for fans and athletes inside the Olympic Stadium Imagine: A sculpture in the shape of late Beatles band member John Lennon is formed onstage during the Closing Ceremony John Lennon's face appears on the big screen as a choir of 100 people from Liverpool, where Lennon was born, sing Imagine. The choir includes members of the Liverpool Philharmonic Youth Choir and Liverpool Signing choir Flagbearers from participating nations parade during the closing ceremony of the London 2012 Olympic Games United nations: Flagbearers take part in the athletes' march during the closing ce