Posts

Showing posts from June 8, 2012

KHADIJA KOPA KUNOGESHA MISS LAKE INTER COLLEGES 2012

Image
Malkia wa mipasho na mshindi wa tuzo za Tanzania Kili music Awards 2012 Khadija Kopa anategemewa kuwa kivuto kikubwa kwa kutoa burudani ya kipekee katika shindano la kumsaka mlimbwende wa MISS lAKE ZONE INTERCOLLEGES 2012 ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika mkoani Kagera katika mji wa Bukoba.   Akizungumza na mwandishi wa habari hii jijini Dar es salaam Mwandaaji wa shindano hilo Bw.Joseph Rwebangira amesema kuwa asilimia kubwa ya maandalizi yameshatimia,hata hivyo Rwebangira aliongezea kuwa mshereheshaji wa siku hiyo atakuwa mchekeshaji maarufu afrika mashariki na kati Mpoki wa the origina comedy.    Miss Lake zone Intercolleges 2012 inayoandaliwa na kampuni ya Angles Real Entertainment ya jijini Dar es salaam chini ya Mkurugezi wake Joseph Rwebangira imejipanga vya kutosha kuleta mabadiliko ikiwa na lengo la kumfikisha mrembo wake katika ngazi ya fainali kitaifa.    Shindano hilo litafanyika katika ukumbi wa Linuz Club uliopo Bukoba mjini siku ya jumamosi tareh

NEW PROGRAM

Image
Meet the hip presenters of STAR GIST - Vimbai Mutinhiri who hails from Zimbabwe and South African Lawrence Maleka. LAWRENCE MALEKA Lawrence is a 22-year-old South African man who still loves his mother’s cooking. His mother once told him that his talent would pay him – prophetic words. His career started as a presenter on the Soweto TV’s highest rated youth show, ‘1 st ’. He went on to do an additional three shows on the channel. He’s also been back on Soweto TV hosting ‘Sowetop10’, a music show. Lawrence auditioned for STAR GIST because he needed a new challenge. “STAR GIST is an amazing show that celebrates our own, showing that we are just as good if not better than our international counterparts. The crew is made up of a vibrant group of people that LOVE their work.” His proudest achievement? “My first television show, I had the highest ratings for the channel”, he says. When he isn’t charming the cameras he listens to music to relax. “I listen t

AfDB PRESIDENT RECEIVE US TRESURY INAGURAL DEVELOPMENT IMPACT AWARDS

Image
The President of the African Development Bank (AfDB) Group ( http://www.afdb.org ), Donald Kaberuka, has received the United States Treasury Inaugural Development Impact Honors Award bestowed on the Mali-Senegal Road project, one of the Bank Group’s regional multinational projects.  “I am truly honored and humbled to receive on behalf of the African Development Bank the Treasury’s Inaugural Development Impact Honors,” President Kaberuka said at the award ceremony in Washington D.C., chaired by treasury Secretary, Timothy Geithner and attended by members of the U.S. Congress and other prominent personalities. “We do appreciate recognition from our friends for the modest progress we are making, however we still have a long way to go and we must keep the hard work,” Mr. Kaberuka said. The U.S. Treasury launched the Development Impact honors award competition for multilateral development Banks last year in the following categories: Education, Enviro

poland na ugiriki nguvu sawa watoka 1-1

Image

CHINA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TANZANIA

Image
Wazrir wa ujenzi dk.John Magufuli ( kulia ) akizungumza na balozi wa china hapa Tanzania bw. lu youqing