Posts

Showing posts from December 26, 2012

BENKI YA NBC WATOA ZAWADI ZA X-MAS NA MWAKA MPYA

Image
by David Mathias on December 26, 2012                     Baadhi wa watoto wanaolelewa katika kituo cha CHAKUWAMA, Sinza jijini Dar es Salaam wakionyesha baadhi ya vitu walivyopewa kama  msaada na wafanyakazi wa Benki ya NBC kituoni hapo juzi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za Sikukuu za Christmas na mwaka mpya. .                      Meneja Mwandamizi Idara ya Utendaji wa Benki ya NBC, Salim Rupia (kulia) akikabidhi msaada vyakula na vitu vingine vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo kwa Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA, ndugu Ally Saidi kituoni hapo, Sinza, Dar es Salaam juzi  ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za Sikukuu za Christmas na mwaka mpya.                     Meneja Huduma kwa Wafanyakazi wa NBC, Suzyo Gwege-Nyirenda (kulia) akikabidhi msaada vyakula na vitu vingine kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha CHAKUWAMA, Sinza jijini Dar es Salaam vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo  ik

RAIS JK ASHEREHEKEA KRISMAS MBUGANI SERENGETI

Image
by David Mathias on December 25, 2012                     Mabingwa wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera wakifurahia ushindi baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge  katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao. (PICHA NA IKULU)                        Nahodha wa hoteli ya Seronera Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwetebaada ya timu yake kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.                               Rais Jakaya Mrisho Kik