Posts

Showing posts from December 1, 2012

WAZIRI MKUU MSTAAFU AWASHAURI WABUNGE KUANZISHA SHULE

Image
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa (wa pili kushoto) akijumuika pamoja na Baadhi ya Wabunge wanaounda timu ya Bunge Sports inayoundwa na wabunge kutoka Baraza la Wawakilishi na Bunge la Jamhuri, wakati wa Chakula cha Mchana alichowaandalia Nyumbani kwake, Ngarashi Wilayani Monduli. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo,Amos Makalla, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Iddi Azzan pamoja na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Monduli, Reuben ole Kunai. WAZIRI Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amewashauri wabunge wa timu ya Bunge Sports kufikiri juu ya kutunga sera ya michezo itakayoruhusu kuanzishwa kwa Shule za Michezo (Sports Academy) hapa nchini. Lowassa ameyasema hayo jana, baada ya kuialika nyumbani kwake timu hiyo iliyopiga kambi ya jijini Arusha tayari kwa mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki jijini Nairobi. “Nilisikitika kweli Timu ya Taifa ya Kilimanjaro Stars il

MSIKOSE USIKUU HUU WA LEO DAR LIVE

Image

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YALIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI LINDI LEO

Image
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika kwenye uwanja wa Ilulu Mjini Lindi, hukwadau mbalimbali wa masuala ya mapambano yA ukimwi wakishiriki kwa kufanya maonyesho na kutoa elimu na maelezo mbalimbali yanayohusu mapambano ya ukimwi, Rais Pia ameshuhudia utiwaji saini wa msaada wa Dola za Kimarekani Milioni 308 kutoka mfuko wa Global Fund uliosainiwa kati ya Katibu katibu  wa Ofisi ya rais  Paniel Lyimo na Ramadhan Kijahkatikabu Mkuu Wizara ya Fedha  huku Mfuko wa Global Fund ukiwakilishwa na Christoph Benn Mkurugenzi wa mfuko huo Christoph Benn Mkurugenzi wa mfuko Global Fund akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika kwenye uwanja wa Ilulu mjini Lindi. Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya wananchi wa mkoa wa Lindi wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani iliyofanyika mjini Lindi leo . kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwe
Image
CFAO MOTORS YATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA TANZANIA MITINDO HOUSE Peer Educators kutoka kampuni ya CFAO MOTORS Grasiano Mfuse (katikati) na Maria Petro wakikabidhi Samani kwenye darasa la Watoto yatima la Tanzania Mitindo House (TMH) ikiwa ni utaratibu wa Kampuni hiyo kila mwaka Disemba Mosi wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani kutoa misaada kwa vituo vya kulelea watoto yatima.Anayepokea msaada huo ni Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Kituo cha Watoto yatima wa Tanzania Mitindo House (TMH) Bi. Khadija Mwanamboka. Peer Educators wa kampuni ya CFAO MOTORS Grasiano Mfuse (katikati) na Maria Petro wakikabidhi msaada wa chakula, mafuta na maziwa kwa Mwenyekiti wa TMH Bi. Khadija Mwanamboka kwa ajili ya watoto wa kituo cha Tanzania Mitindo House ambao miongoni mwao wanaishi na Virusi vya Ukimwi. Pichani juu na chini ni Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Kituo cha Watoto yatima wa Tanzania Mitindo House (TMH) Bi. Khadija

UJUMBE WA BODI YA KIMATAIFA YA PLAN INTERNATIONAL WATEMBELEA MIRADI YA SHIRIKA HILO IKIWEMO KITUO CHA WATOTO CHA MLEGELE-KISARAWE.

Image
Wakazi wa Wilaya ya Kisarawe wakicheza ngoma ya kiutamaduni pamoja na mmoja wa wajumbe wa bodi ya Plan International waliotembelea moja ya miradi inayofadhiliwa na shirika hilo wilayani humo. Mlezi wa Kituo cha Mlegele Wilayani Kisarawe na Mwenyekiti wa Majengo yote ya Kulelea watoto hao Bw. Shabani Daruweshi akisoma risala kwa ujumbe wa Bodi ya Plan International (haupo pichani) ambapo amesema Shirika la Plan International limeshirikiana kikamilifu na Wanajamii, Serikali na Mashirika mengine katika kufadhili taratibu zote za kuwajengea uwezo wa kitaalam wadau mbalimbali, akitolea mfano kuijengea uwezo wa kitaalam timu ya Wilaya ya wataalam wa malezi na makuzi ya mtoto katika wilaya ya Kisarawe. Amesema pamoja na mafanikio waliyoyapata bado wankabiliana na changamoto kadhaa ikiwemo Miundo Mbinu ya kituo kutokuwa rafiki wa watoto ikiwa ni pamoja na majengo ya kudumu, uhaba wa maji safi na salama, upungufu wa vyumba vinne vya madara

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA

Image
ndugu Mengi ndugu Gulam Dewji ndugu Ali Mafuruki. WAFANYABIASHARA watano, Said Bakhressa Gulam Dewji, Rostam Aziz, Reginald Mengi na Ali Mufuruki, wametajwa na Jarida la Ventures Africa linalozungumzia masuala mbalimbali ya uchumi wa Afrika kuwa ndiyo matajiri zaidi nchini. Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za Marekani 620 milioni sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye utajiri wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha mali na fedha wanazomiliki kwenye mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola 420 milioni) Mengi (Sh448bilioni- Dola 280 milioni) na Mufuruki (Sh176 bilioni - Dola 110 milioni)-source Mwananchi magazine.