Posts

Showing posts from June 4, 2012

HUDUMA YA AIRTEL SUPA 5 YAZINDULIWA KWA KISHINDO MJINI MOROGORO

Image
Sehemu ya umati wa wakazi wa morogoro uliofurika kwenye uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, arusha na Mwanza. Mkazi wa Morogoro Sarafina Millak akikabidhiwa simu aina ya sumsung na Meneja Mauzo wa Airtel kanda ya Pwani,Aminata Keita mara baada ya kuibuka kinara wa kucheza ‘sebene’ la bendi ya Mashujaa,wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa5 iliyofanyika jana kwenye uwanja wa shule ya msingi-Uwanja wa ndege mkoani Morogoro. Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’  AU WIKI UTUME KWENDA 15548. Wateja wa Airtel wakiwa na zawadi zao za simu aina ya Sumsung mara baada kununua moderm za Airtel zenye kasi ya 3.75G,shoto ni Me

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKITOA TAARIFA KUHUSU SIKU YA MAZINGIRA DUNIAN

Image
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko kisiwani Pemba. PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI MAELEZOZANZIBAR Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akifafanua jambo wakati akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba. Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba.

MBUNGE AFIKISHWA MAHAKAMANI

Image
1.Mshahara kwa mwezi tshs 2,300,000/= 2.Mafuta ya gari kwa mwezi 2,000,000/=i.e ltr 1000 kwa mwezi 3.Posho ya ubunge kwa mwezi 1,000,000/= 4.Posho ya kukaa bungeni kwa siku 80,000/= 5.Posho ya kuendesha ofisi kwa mwezi 700,000/= 6.Simu ya m kononi kwa mwezi 500,000/= Jumla ya mapato hayo ni7,200,000/=ukiachilia mbali posho za vikao vya kamati mbali mbali na safari za nje Lakini Huyu Mbunge wa CCM kakamatwa anapokea Rushwa ya 1mil. Dhu Sasa amepoteza Mil 7 kwa kupokea Mil 1.

MATUKIO MBALIMBALI YA MHESHIMIWA NDUGAI NCHINI KOREA YA KUSINI

Image
Mwakilishi wa zamani Tanzania  wa heshima.Balozi Johan ambaye ndiye alikuwa balozi wa korea ya kusini akimpa maelezo mheshimwa Ndugai karibu na jengo la kumbu kumbu la waliowahi kuwa wafalme wa korea