HUDUMA YA AIRTEL SUPA 5 YAZINDULIWA KWA KISHINDO MJINI MOROGORO


Sehemu ya umati wa wakazi wa morogoro uliofurika kwenye uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, arusha na Mwanza.

Mkazi wa Morogoro Sarafina Millak akikabidhiwa simu aina ya sumsung na Meneja Mauzo wa Airtel kanda ya Pwani,Aminata Keita mara baada ya kuibuka kinara wa kucheza ‘sebene’ la bendi ya Mashujaa,wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa5 iliyofanyika jana kwenye uwanja wa shule ya msingi-Uwanja wa ndege mkoani Morogoro. Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’  AU WIKI UTUME KWENDA 15548.
Wateja wa Airtel wakiwa na zawadi zao za simu aina ya Sumsung mara baada kununua moderm za Airtel zenye kasi ya 3.75G,shoto ni Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel-Morogoro,Aluta Kweka.
Msanii wa hip hop ROMA akighani jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, Arusha na Mwanza 

Msanii wakundi maarufu nchini la Tip top connection lenye makazi yake jijini dare s salaam Manzese, Madee akiimba jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, arusha na Mwanza

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA