Posts

Showing posts from August 9, 2012

IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE, MUSEVENI,KAGAME,NA RAIS KABILA WAKUTANA JIJINI KAMPALA KATIKA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU.

Image
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakifurahia  jambo wakati wa mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Paul Kagame wa Rwanda(kushoto),Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda(Watatu kulia) na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wakiwa katika mkutano wa viongozi wan chi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda jana jioni.Picha na Freddy Maro-IKULU

PINDA ATEMBELEA MAONESHO YA NANENANE ARUSHA

Image
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua mazao ya mbogamboga wakati alipotembelea maonesho ya wakulima  Nanenane kwenye uwanja vya Themi, Arusha Agust  8, 2012. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)  Mkuu Mizengo Pinda akifurahia mzinga wa nyuki aliozawadiwa na TASO katika maonesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Themi Arusha Agust 8,  2012.  Kulia ni Naibu Waziri wa Kiolimo na Chakula na Ushirika, Adam Malima (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

DK BILAL AFUNGA MAONESHO YA NANENANE DODOMA

Image
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi kikombe Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatuma Salum Ally, baada ya Halmashauri ya Wilaya hiyo kuwa kuwa mshindi wa jumla katika maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane yaliyomalizika leo Agosti 8, 2012, wakati alipokuwa akifunga maonyesho hayo  katika Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma. Picha na Muhidin Sufiani-OMR   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi mmoja kati ya wajasiliamali wa vikundi vya wakulima, wakati alipokuwa akifunga rasmi maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane yaliyomalizika leo Agosti 8, 2012 katika Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma. Picha na Muhidin Sufiani-OMR  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Zakhia Bilal, wakifurahia ngoma ya asili wakati walipowasili kwenye Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma leo Agosti 8, 2012 kwa ajili ya kufung

MSAMA PROMOTION WACHARUKA

Image
Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani akifafanua jambo kwa Wanahabari (hawapo pichani),kuhusiana na tukio zima la kama kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliofanyika mjini Dodoma. Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani mwenye fulana ya mistari akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na Audio Cd za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye  kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma,mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi  wa kazi za wasanii,ambapo jumla ya Cd na Computer zenye thamani ya shilingi milioni Sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo.(PICHA ZOTE NA DIRA MEDIA)