Posts

Showing posts from December 3, 2012

Malasusa aikomalia Serikali

Image
  Submit Cancel WAKATI baadhi ya vinara wa vurugu zinazohusishwa na masuala ya kidini wakiwa Mahakamani jijini Dar es Salaam na Zanzibar, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa ameidai kuwa Serikali ina kigugumizi katika kusema ukweli kuhusiana na vurugu hizo na zingine zinazotokana na imani za kidini nchini.Akihutubia wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa 31 wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani unaofanyika mjini Bagamoyo jana, Askofu Malasusa alisema kuwa,  Serikali ilipaswa si tu kuwakamata, bali pia kufuta usajili wa vikundi vyote vinavyosababisha vurugu nchini.Askofu Malasusa alisema kuwa, kitendo cha  Serikali kukaa kimya bila kuchukul