Posts

Showing posts from July 2, 2012
Image
Na Ali Issa Maelezo Zanzíbar  RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKT . Ali Mohammed Shen kwa uwezo alio pewa c hini ya kifungu 9 (1) ((a) chash eria ya  mafunzo ya Amali Zanzíbar namba 8 ya mwaka 2006 ame mteuwa DKT . Mohammed Hafidh khalifan kuwa mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzíbar . Kwamujibu wa barua ya tarehe 2 /7/2012 ilio tiwa saini Katibu wa  Baraza la Mapinduzi na ka tibu mkuu kiongozi zanzibabr  DKT Abdull Hamid Yahaya Mzee  uteuzi huo umeaza tangu