Na Ali Issa Maelezo Zanzíbar 
RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKT. Ali Mohammed Shen kwa uwezo alio pewa chini ya kifungu 9 (1) ((a) chasheria ya  mafunzo ya Amali Zanzíbar namba 8 ya mwaka 2006 amemteuwa DKT. Mohammed Hafidh khalifan kuwa mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzíbar .

Kwamujibu wa barua ya tarehe 2 /7/2012 ilio tiwa saini Katibu wa  Baraza la Mapinduzi na katibu mkuu kiongozi zanzibabr  DKT Abdull Hamid Yahaya Mzee  uteuzi huo umeaza tangu

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA