MBUNGE AFIKISHWA MAHAKAMANI

1.Mshahara kwa mwezi tshs 2,300,000/=
2.Mafuta ya gari kwa mwezi 2,000,000/=i.e ltr 1000 kwa mwezi
3.Posho ya ubunge kwa mwezi 1,000,000/=
4.Posho ya kukaa bungeni kwa siku 80,000/=
5.Posho ya kuendesha ofisi kwa mwezi 700,000/=
6.Simu ya mkononi kwa mwezi 500,000/=
Jumla ya mapato hayo ni7,200,000/=ukiachilia mbali posho za vikao vya kamati mbali mbali na safari za nje

Lakini Huyu Mbunge wa CCM kakamatwa anapokea Rushwa ya 1mil. Dhu Sasa amepoteza Mil 7 kwa kupokea Mil 1.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA