MKUTANO WA MAWAZIRI NA MAKATIBU WA KUJADILI CHANGAMOTO ZA MUUNGANO ZANZIBAR LEO


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Maendeleo Zanzibar  Omary Yusuph Mzee akizungumza na Waziri wa Fedha Uchumi na Mipango wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. William Mgimwa wakati wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa mkutano kujajidili changamoto za muungano Mh. Mohamed Aboud Mohamed Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,na mwenyekiti mwenza Mh Samia Suluhu Hassan Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais muungano wakijadili jambo wakati kwa mkutano huoPicha zote na Ali Meja Ofisi ya makamu wa Rais

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA