Wadau msipende kujiunga na chama cha Freemason kwani ukiingia humo hautoki makao makuu yao yapo Lagos Nogeria kwa hapa Africa na ndio wanao ongoza dunia sasa hivi na ndicho chama kilicho tabiriwa hata kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia ni chama cha wanao abudu shetani kwa kifupi Ibilisi nimeandika haya kwa sababu nawapenda wote na nataka wote tumuabudu mwenyezi mungu kwani yeye ndio mpaji wa vyote.
CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE
Redds Miss Chang’ombe 2012, Catherine Masumbigana 21, (katikati) akipunga mkono mara baada ya kusimikwa rasmi kuwa mshindi wa taji hilo. Kulia ni mmshindi wa pili, Jesca Haule (18) na Mshindi wa tatu Zulfa Bundala. Masumbigana aliwashinda warembo wengine 13 katika shindano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Quality Center jijini Dar es Salaam Juni 10, 2012. Tano bora ya Miss Chang’ombe 2012 ambao wote wamepata tiketi ya kushiriki shindano la Miss Temeke 2012 wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka Kushoto ni Zulfa Bundala (21), Jesca Haule (18), Catherine Masumbigana (21), Miriam Nkisigwa (20) na Flora Kazungu. Warembo wakicheza show maalum ya ufunguzi Vazi la ufukwenu, Kutoka kulia ni Restituta Faustiney, Wensley Mabula na Clara Diu. Warembo Flora Mayasa (kulia) Catherine Masumbigana (katikati) na Elizabeth Mushi wakiwinda point na vazi la ufukweni. Mkali wa Bongo Fleva Nassib Abdul 'Diamond' na vija...