USAHILI WA EPIC BONGO STAR SEARCH JIJINI DODOMA
Majaji wakifanya majadilianokalbla ya kuanza kwa usaili huo uliofanyika mjini Dodoma jana kutoka kulia ni jaji Salama Jabir, Mkurugenzi wa Benchmark Production na Master J. Washiriki wa uasili huo wakiwa katika mstari wakisubiri wakisubiri taratibu zikamilike ili waanze kufanya uasaili Mawakala wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel wakiwapa huduma wateja wo kuhusu huduma ya kifedha ya Ezy Pesa katika ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma Mshiriki Fabian Peter Kikoko akitoa burudani wakati washiriki wakisubiri kuingia kwa majaji ili kuanza usaili.