USAHILI WA EPIC BONGO STAR SEARCH JIJINI DODOMA

Majaji wakifanya majadilianokalbla ya kuanza kwa usaili huo uliofanyika mjini Dodoma jana kutoka kulia ni jaji Salama Jabir, Mkurugenzi wa Benchmark Production na Master J.
Washiriki wa uasili huo wakiwa katika mstari wakisubiri wakisubiri taratibu zikamilike ili waanze kufanya uasaili
Mawakala wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel wakiwapa huduma wateja wo kuhusu huduma ya kifedha ya Ezy Pesa katika ukumbi wa  Royal Village mjini Dodoma
Mshiriki Fabian Peter Kikoko akitoa burudani wakati washiriki wakisubiri kuingia kwa majaji ili kuanza usaili.

Popular posts from this blog

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

HOTUBA YA MHESHIMIWA PEREIRA AME SILIMA (MB), MWENYEKITI WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI (T)