MATUKIO MBALI MBALI KATIKA MSIBA WA WILLY EDWARD OGUNDE
Mwili
wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Willy Edward
ukuwasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam kuhifadhiwa,
ukitokea Morogoro alikopatwa na mauti jana.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts, Benny Kisaka (kulia) akimfariji mdogo wa marehemu Willy Edward, Ezekiel Ogunde
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa karibu na Mochuari Hospitali ya Muhimbili ulikohifadhiwa mwili wa marehemu Edward
Waandishi
wa habari wa gaz\eti la jambo leo wakiwa na huzuni wakisubiri mwili wa
marehemu Edward. Kultoka kulia ni Asma Mokiwa, Grace Gulisha na Joyce
Ngowi
Wanahabari wakimfariji mdogo wa marehemu Willy Edward, Ezekel Ogunde
Waandishi wa habari, Asha Kigundula wa Jambo Leo na Mwani Nyangasa wa Mtanzania wakilia kwa uchungu.





