Mbunge wa Ubungo Chadema John Mnyika Akabidhi Zawadi Rasmi Kwa Washindi wa Shindano la Ujasiriamali Jimbo la Ubungo

Mshindi wa Tatu:
Seif Juma (19) kutoka Goba Tsh 50,000/-

Mshindi wa Kwanza:
Joseph R. Shindo (22) kutoka Kata ya Kimara Tsh 200,000/-

Mshindi wa Pili: Rehema
A. Abdallah (25) kutoka Makurumla Tsh. 100,000/-

Washiriki wote wa
shindano, pamoja na waratibu na Mbunge wa Jimbo la Ubungo.Picha na Habari Kutoka Ofisi ya Mbunge wa
Jimbo la Ubungo
--
Ofisi ya Mbunge wa
Jimbo la Ubungo kwa ushirikiano na shirika la Maendeleo Ubungo; Ubungo
Development Initiative (UDI) waliendesha shindano la kuwainua wajasiriamali
wadogo wadogo kwa kuwataka kuandaa mchanganuo namna gani watatumia Tsh
200,000/- katika kuanzisha au kuiendeleza biashara zako. Washindi waliopatikana
ni;