MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZINDUA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO HUKO NAKASANGWE MADALE JIJINI DAR ES SALAAM



 Mwenyekiti wa Kia motors, Cho Kwi Hyun akikabidhi Kuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadik mfano wa ufunguo wa moja ya magari manne ambayo kampuni hiyo imetoa kwa shule ya Maendeleo iliyopo  Nakasangwe Madale wakati wa hafla ya uzinduzi wa shule hiyo leo kulia ni Mkurugenzi Shirika (GNI), Yang Jin OK na kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali Mtaa Madale Alex Mbuya
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadik akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa shule ya Maendeleo iliyoko Nakasangwe Madale jijini Dar es salaam iliyojengwa  kwa msaada wa kampuni ya  KIA na HYUNDAI za Korea kupitia shirika la
Vijana mbalimbali kutoka Shirika la GNI nchini Korea walioshiriki kujitolea kujenga shule ya Sekondari Maendeleo Nakasangwe huko Madale  wakiwa katika hafla ya uzinduzi leo

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA