MATOKEO YA PICHA SABA SABA LEO


Mwanafunzi wa VETA Bw. Onesmo Mrisho akiwapa maelezo baadhi ya washiriki waliotembelea kujionea shughuli mbalimbali zitolewazo na chuo hicho akiwaelimisha juu ya stata ya kuwashia moto kwenye mkaa au kuni badala ya kutumia mafuta ya taa au karatasi na pia railoni ambazo zinaathili kiafya.
 
Hili ndilo banda la VETA la maonyesho ya bishara ya kimataifa saba saba liloko katika viwanja vya mwalimu JK Nyerere. Dar es Salaam,
Mwanafunzi  wa VETA Bw. Salum Machapati akiwaelezea baadhi ya washirika waliohudhuria katika banda la maonesho ya sabasaba ya chuo hicho juu ya matumizi ya kitanda cha kisasa ambacho kinatumika katika hali ya hewa yoyote ambacho kinaundwa kwa kutumia mbao, udongo pamoja na mkaa.
Baadhi ya wananchi wakiangalia pampu katika banda la VETA kwenye maonesho ya sabasaba pampu hiyo iliyotengenezwa kwa chuma na inamfumo wa kuvuta maji yenye dawa ambayo yanarahisisha katika kuogesha wanyama.
Meneja mhusiano wa VETA  Grace Kabogo akionyesha kabati la siri la kunzia nyaraka mbalimbali  linalotengenezwa na chuo hicho cha VETA katika maonyesho ya saba saba leo.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA