Happy Birthday Mhe. Spika Makinda


Bi Lina Kitosi akimlisha Mhe. Spika keki kwa niaba ya Wafanyakazi wa Bunge wakati wa Birthday yake ya 63 iliyofanyika jana mjini Dodoma, Fullshangweblog inakutakia maisha marefu Mh. Spika Anne makinda na mungu akupe hekina na Busara ili uweze kuliongoza vyema bunge letu kwa maendeleo ya Tanzania
Ni Birthday ya 63 ya Mhe. Spika Anne Makinda, Mb.
 
Keki ya Birthday

Wapambe wakiwasilisha Keki
Pokea Keki Mama
Asanteni sana
 Spika Anne Makinda akipokea keki kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Bunge.
Spka wa Bunge Mh. Anne makinda akimlisha keki
 Spika wa Bungbe Anne Makinda akikata keki tayari kwa kuila katika birthday yake jana.
 Mhe. Spika Anne Makinda, Mb.akikata keki katika birthday yake jana

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA