WAZIRI MKUU AFUNGUA KIWANDA CHA NYUKI KIBAHA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kiwanda cha kusindika asali cha Organic Honey katika kijiji cha Visiga mkoani Pwani kinachomilikiwa na kampuni ya Boleyn International, Juni 9, 2012.Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na anyepiga makofi katikati ni Mkrurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Jack Liu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo baada ya kufunguza kiwanda cha kusindika asali cha  Organic Honey katika kijiji cha Visiga  mkoani Pwani  kinachomilikiwa na Kampuni ya  Boleyn  International, Juni 9, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA