WAGAMBIA WAKIFANYA MAZOEZI UWANJA WA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM

Timu ya Gambia ikiwa mazoezini katika uwanja wa karume jijini dar es salaam jioni hii kwa ajili ya mechi ya Timu ya Taifa Star katika uwanja wa Taifa jumapili  jijini dar es salaam.

(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Wachezaji wa timu hiyo wakijifua kwa kuchezea mpira wa pasi fupifupi kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam leo jioni.

Popular posts from this blog

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

HOTUBA YA MHESHIMIWA PEREIRA AME SILIMA (MB), MWENYEKITI WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI (T)