VIONGOZI WA BENDI ZA DANSI WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Kiongozi wa Bendi ya Muziki wa dansi ya Extra Bongo, Ally Choki (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano utakao husisha bendi mbalimbali na wadau wa muziki huo wenye lengo la kuinua wanamuziki chipukizi kupitia vyombo vya habari na masuala mengine. Kushoto ni mmoja wa kiongozi wa bendi ya Njenje, John Kitime na Meneja wa bendi ya Mapacha watatu, Khalid Chokoraa.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA