UZINDUZI
Mkurugenzi
Mtendaji wa MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS Bw. Walter Bugoya akitoa neno
wakati wa uzinduzi wa kitabu cha 'FURAHA HUJA ASUBUHI' (JOY COMES IN THE
MORNING) kilichoandikwa na Hopolang Phororo kinachozungumzia Mateso na
manyanyaso ya wasichana wadogo wakati wa malezi yao na haki ya msingi ya
jinsia ya kike katika jamii.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa kitabu cha 'JOY COMES IN THE MORNING' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Dkt. Mrisho na Mtunzi wakionyesha Kitabu kwa wageni waalikwa na
waandishi wa habari. Kitabu hiki kinapatikana katika Maduka ya MKUKI NA
NYOTA PUBLISHERS yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa gharama ya shilingi
10,000/=.
:Mkurugenzi wa MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS Mzee Bugoya akibadilishana mawazo na Dkt. Mrisho pamoja na Bi. Kapaya wakati wa uzinduzi