TBL YAMZAWADIA ZAWADI YA BAJAJI MSAMBAZAJI BORA KANDA YA KUSINI
pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji waKampuni ya Massawe Glosery, Jacob Massawe (wa pili
kulia) ufunguo wa Bajaj yenye thamani ya sh. mil.4.7, baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa kanda hiyo kwa usambazaji na uuzaji wa bidhaa za TBL.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika
Kibaha, Pwani juzi, ni mke wa Massawe, AnnaMassawe na Meneja wa Huduma za Biashara wa TBL,Reginald Mosha.