
Beki wa timu ya soka ya taifa (Taifa Stars), Aggrey Morris (kulia) na
kiungo Shaaban Nditi (kushoto) wakijaribu kumzuia mshambuliaji wa
kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba (katikati), wakati wa mchezo wao
wa jana wa mchujo kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia
2014 nchini Brazil, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Felix
Houphouet-Boigny mjini Abidjan. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0

Didier Drogba akifanya mambo zidi ya Taifa stars

Didier Drogba (kushoto) akisalimiana na John Boko wa Taifa Stars baada mechi kumalizika