STARA THOMAS AFUNGUKA
Akiwa ametimiza mwaka mmoja na Mwenzi Mmoja Mwanamuziki Wa Injili ambaye
hapo awali alikuwa anafanya Secular amefunguka jana na leo katika Radio
Clouds pamoja na Praise Power akieleza bila kificho kuwa Wanamuziki wa
Injili ni Wanafiki na Wanamakundi.
Mwanamuziki huyo ambaye wiki iliyopita alikuwa ni miongoni Mwa
Wanamuziki waliokuwepo katika Friends On Friday ameeleza kupitia vyombo
hivyo vya habari hivyo kuwa mara baada ya kuokoka alitegemea support
kubwa sana kutoka kwa Wanamuziki Wakongwe na Wale Under ground lakini
ajabu amekuta katikati ya Wanamuziki hao Wa Injili Wana Makundi na
Unafiki wa hali ya juu.
Papaa Ze Blogger akiteta Jambo na Stara Thomas
Hii si mara ya kwanza kwa mtu mbali na Mwanamuziki huyu wa injili
kuongea jambo hilo, Meneja wa Kituo Cha Praise Power George Mpella
aliwahi washukia wanamuziki hao wa Injili na Blog ilitupia kama kawaida
gonga hapa http://samsasali.blogspot.com/2012/03/iliyobamba-facebookpapa-g-meneja-wa.html
Mtangazaji Mwingine wa Praise Power Uncle Jimmy Temu nae aliwaji funguka kuhusu tabia za Wanamuziki hawa wa Injili.
Je ni kweli Wanamuziki Wa Injili ni Wanafiki??
Mc Luvanda Kushoto, Stara Thomas na Ze Blogger.
Gonga Hapa Usikilize.

