Safari ya mwisho ya mpiganaji Willy Edward kijijini kwao Molotonya

 Waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Willy Edward nyumbani kwao Molotonga, Mugumu Mjini, Serengeti, mkoani Mara, leo

 Waombolezaji wakiwa wamejipanga foleni tayari kwenda ktuo heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward.
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalom Kibanda (katikati), akiwaongoza baadhi ya wahariri kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Willy Edward wakati wa maziko yaliyofanyika Molotongo, Mugumu.
 Baba wa marehemu Willy Edward, Edward Ogunde akilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa nmwili wa mwanawe
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward.
 Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacquiline Liana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward nyumbani kwao marehemu Molotonga, Mugumu Mjini.
 Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kapteni mstaafu James Yamungu akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward.
 Mjane wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, marehemu Willy Edward, Rehema akimbusu mumewe wakati wa kuuaga muda mfupi kabla ya maziko nyumbani kwao Molotonga, Mugumu Mjini, Serengeti jana.
 Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, marehemu Willy Edward, likiwekwa kaburini wakati wa maziko yaliyofanyika nyumbani kwao Molotonga, Mugumu Mjini, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara


 Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mara, Hilikia Omindo akiiongoza familia ya marehemu Willy Edward kuweka udongo kwenye kaburi wakati wa maziko.

 Watoto wa marehemu Willy Edward, Colman na Careb wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao.
 Mdogo wa marehemu Willy Edward, Essey Ogunde (kushoto) na kakao, wakiweka shada la maua
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalom Kibanda (katikati), akiwaongoza baadhi ya wahariri kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Willy Edward wakati wa maziko yaliyofanyika Molotongo, Mugumu.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mara, Hilikia Omindo (kushoto) na Askofu John Adiema wa Dayosisi ya Rorya wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Willy Edward.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA