REDDS MISS NANG'OMBE KUPATIKANA KESHO JUMAMOSI
Warembo wanaotarajia kuwania taji la Redds Miss Chang'ombe kesho katika
ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja
wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana kwenye mgahawa mpya wa City
Sports & Lounge uliopo mkabala na sanamu ya Askari, katikati ya
Jiji la Dar es Salaam. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)
Mwandaaji wa shindano hilo, Tom Chilala (kulia) akizungumza kuhusu
maandalizi ya kimbembe hicho. Kutoka kushoto ni Meneja wa kinywaji cha
Redds kinachodhamini mashindano hayo, Vick Kimaro na Meneja wa Kampuni
ya Nexusw Consulting Agency, Neema David.
warembo wakiwa kwenye pozi