RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWANA WA MTOTO WA MFALME

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na/akimsinidikisa Mwana wa Mfalme na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mhe. Abdulaziz Bin Abullah Bin Abdul Aziz Al Saudi
 jana, juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifanya mazungumzo.


Rais Jakaya Kikwete akimsindikiza Naibu Waziri Mkuu wa Kenya ambaye pia ni Waziri wa Serikali za Mitaa Mhe. Musalia Mudavadi baada ya maongezi yao Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mchungaji Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou na Mwenyekiti wa Bodi ya Myochikai na Mlezi-Mwenza wa Kongamano la Mtandao wa Kimataifa wa Dini kwa Watoto
(Global Network of Religions for Children)  jana Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifanya mazungumzo.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA