NAPE AKIZUNGUMZA NA WALIMU WA MKOA WA IRINGA MJINI MAFINGA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na walimu wa shule za sekondari na za msingi mjini Mafinga mkoani Iringa, leo katika ukumbi wa Southern Highland,  ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezaji ilani ya Chama tawala cha CCM mkoani humo. Katika mazungumzo hayo Nape alipata fursa ya kusikiliza kero za walimu na kujadili nao jinsi ambavyo serikali itakavyoweza kuyatatua.
Walimu wa shule za sekondari na msingi wa mjini Mafinga, wakimsikiliza Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipozungumza nao leo kwenye ukumbi wa  Southern Highland mjini Mafinga mkoani Iringa

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA