MASTAA WA BONGO: Diamond msanii atumia zaidi ya Milioni 69 kujenga nyumba yake iliyopo Tegeta.

Inawezekana
ukawa una taarifa kwamba Diamond Platnums ni msanii mwenye mkwanja sana
hapa Tanzania kutokana na show za bei gali na nyingi anazozifanya.
Inawezekana
ukawa unataarifa kwamba Diamond Platnums ndio msanii ambae yuko juu kwa
sasa Tanzania, na kwamba ndio msanii aliepiga show nyingi za bei ghali
mwaka jana.
siyo
hayo tu… kuna uwezekano ukawa una taarifa zake nyingi tu lakini hili
ninalotaka kukwambia mimi ndio kwanza unalisoma kutoka hapa.
Akiongea
Exclusive na millardayo.com Platnums amekubali kuzungumzia nyumba yake
anayoijenga Tegeta Dar es salaam kutokana na pesa za muziki.