MASHAHIDI WAWILI WAJITOKEZA KATIKA KESI YA MAUAJI YA MAREHEMU SWETU FUNDIKIRA

Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mtoto wa chifu Abdalla Fundikira ilianza kusikilizwa jana katika mahakama kuu kanda ya Dar es salaam ambapo mashahidi wawili mtangazaji wa TBC ,Benedicto Kinyaiya na Sostenes Mbuya walitoa ushahidi.

Popular posts from this blog

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

HOTUBA YA MHESHIMIWA PEREIRA AME SILIMA (MB), MWENYEKITI WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI (T)