MAKAMUZI YA MACHOZI BENDI NA BARNABA YALIVYOFANA MWANZA




Langoni ilikuwa unakutana na CD original za Lady jay Dee na Machozi Band 

Ze dadaz wakipata flash juu ya red carpet kabla ya kuingia ukumbini, katikati ni Rhoda John, Asha Kissy na mashost zao. 
  Kutana na Blogger Allan Kisoi pale kati akipata flash na Antonio Nuggas, Barnaba na Hellen.
Machozi Band katika Stage la Gold Crest Manza.
 Mc wa shughuli usiku huo Albert G. Sengo toka Clouds Fm 88.1 Mwanza
Dance la Machozi Band likiendelea.
Mduara na mauno yamekolea anatunukishwa mtu kitu cha msimbazi.
Mikono kwenye pembejeo na zana maho kwenye kamera na Machozi Band.
Mwimbaji mwenye umri mdogo kuliko wote hatari kwenye stage Sam Machozi.
Sutumuka ya kwaitoZZZZzzz.com
Dance la kwaito.
Barnaba alichengua vilivyo.
Hadi ladiZ wanakiri kuwa Barnaba ni 'moTTo'
Nishakwambia kuwa Barnaba ni 'Motto' 
Mwanamuziki haitwi 'Mwanamuziki' bila kujua kutumia japo chombo kimoja wapo cha muziki.
Familia kama kawaZZz..

Wageni toka mbali hawakukosa.
Kutoka kulia Anthonio Nuggaz wa Kambi popote, Captein Gadna G. Habbash, Ramma wa Villa Park na Albert G. Sengo
Zungusha zungusha....

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA