MAANDALIZI YA SABA SABA


Mafundi wakiendelea na usafi katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika viwanja vya maonyesho ya biashara vya Saba Saba jijini Dar es salaam leo ambapo maonyesho hayo yanatarajiwa kuanza rasmi kesho juni 28/ 2012.
Msimamizi wa banda la Home Shopping Centre BW.Faiz Mahamood Said akiongea na waandishi wa habari leo katika banda hilo viwanja vya SABA SABA pia Bw.Faiz Mahamood Said alisema amewataka washiriki wa maonyesho hayo kujitokeza wa kwa wingi pia watembelee banda la Home shopping centre wajionee bidha mpya mbalimbali.
Mafundi wakiweka bango katika banda la kampuni ya simu TTCL katika viwanja vya saba saba leo
Mafundi wakiweka mabango katika viwanja vya maonyesho ya biashara vya Saba Saba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA