MAADHIMISHO SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto ndungu Ummy Ali Mwalimu na kulia ni naibu waziri wa afya ndugu Seif Suleiman Rashidi wakizungumza na waandishi wa habari jana mjini Dodoma kuhusu maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika itakayofanyika tarehe 16.6.2012 na kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu  ni haki za watoto wenye ulemavu; ni wajibu wetu kuzilinda,kuziheshimu,kuziendeleza na kuzitimiza.

Popular posts from this blog

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

HOTUBA YA MHESHIMIWA PEREIRA AME SILIMA (MB), MWENYEKITI WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI (T)