KATIBUMKUU AKABIDHI GARI ZIWA TANGANYIKA

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizindua Gari aina ya LAND CRUISEL ambalo limetolewa na Ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika[AFDB]hii ni gari ya pili ya Mradi ya Kuboresha Shughuli za Uvuvi na Mazingira katika Ziwa Tanganyika kulia Mratibu wa Mradi Dk Hadson Nkotagu,Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Bi Magdalena Mtenga[Picha na Ali Meja]
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akimkabidhi Dk Hadson Nkotagu Gari aina ya Land Cruisel la Mradi wa Ziwa Tanganyika ambalolimetolewa Chini ya Ufadhili wa Banki ya Maendeleo ya Afrika[AFDB] hii ni gari ya pili ambayo imetolewa kwa shughuli za Mradi kuboresha Uvuvi katika Mwambao wa  Ziwa Tanganyika,Mikoa ya Kigoma,Rukwa na Katavi Shughuli hiyo imefanyika Ofisini kwa makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja]

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA