KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAIPITISHA BAJET YA WIZAEA YA MIUNDOMBINU LEO
Juzi waziri wa fedha alisema kuwa bajeti ijayo serikali itakuwa ni shilingi trilioni 15 katika vipaumbele saba bajeti inayomalizika ilikuwa ni trilioni 13.5 za kitanzania Serukamba alisema katika miladi ya maendeleo fedha za ndani ni shilingi 296,896,892,000 na fedha za nje ni shilingi 397,051,380,000na kwamba jumla ni 693,948,272,000
Mishahara ya wizara na taasisi ni 21,340,508,000 shilingi, na mfuko wa barabara ni sh 300,764,800,000,matumizi mengine ni sh 6,980,046,000 na jumla yake ni 329,085,354,000 sh.