FREEMASON

Siku Ya leo katika Kipindi Cha Leo Tena Katika Radio Maarufu ya Clouds FM pamoja na kwenye Clouds TV wamejitokeza Watu wanaodai wao ni Freemasons na Kueleza Wanavyofanya kazi.
Watu hao ambao inaonekana hawakuwa wamejipanga kwenda kwenye Media Wameshindwa kujibu baadhi ya Maswali waliyokuwa wakiulizwa na Mtangazaji Zamaradi. Mara Kwa Mara watu hao Wamekuwa Wakikinzana katika Maelezo wanayotoa kuhusu Freemasons.
Katika moja ya Maelezo Yao wameeleza Kila Mtu ni Freemason akiwa Mkristo ama Muislam anaweza kuwa Freemason walijichanganya zaidi baada ya kuulizwa kama ndivyo basi hawa Jamaa hawana ibada, wakasema "Huwezi Kuwa Mroman, Kama Hauendi Kwenye Ibada Za Waromani, vivyo hivyo kila Freemason lazima aje kwenye Ibada".
Kumekuwa na Wimbi la Watu Wanaoibuka na Kudai kuwa na ufahamu wa Kutosha Kuhusu Freemasons. Mungu aisaidie Tanzania Mungu atuepushe na roho ya Ujinga na Kukataa Mafundisho Ya neno la Mungu.
Hawa ndio wataalam wa level ya u-DR waliokuwa leo kwenye Leo Tena Wakieleza U-Freemason Wao.
 Ma-Dr Wa Freemasons wakiwa na Laptop Yao desa la maelezo ndani Ya Clouds FM
 Huyu ndo yulee anayeongea Kisukumuma halisi
 Jamaa akisikiliza Swali la Zamaradi Kwa Umakini Mkubwa
 Jamaa anafafanua leo, Cheki Kiatu Cha Freemason huyu.
 Kazi Kweli kweli

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA