WANAFUNZI WAKISHIKIRIA MABANGO KUONESHA WANAPINGA UVUTAJI WA SIGARA

Wanafunzi wakimkimbilia  mzungu kumuonesha mabango yanayokataza kuvuta tumbaku wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kukataza kuvuta Tumbaku Duniani leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa jULIUS nYERERE, Dar es Salaam.
Wakiendelea kumuandama mzungu huyo ambaye hata aliendelea kuvuta sigara bila hofu
Mzungu akiwa amezingirwa na matango kila mahala
Hatimaye ameamua kusalimu amri na kuanza kusoma tangazo
                                        ASkiwa hoi baada ya purukushani hiyo. PICHA NA KHAMIS MUSSA

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA