UCHAKACHUAJI WA MAFUTA SASA BASI - EWURA
International (GFI),Hafidh Kibaya akijiandaa kutia alama maalum ya vinasaba kwenye mafuta ya petroli katika kituo cha Oryx cha kujazia mafuta kwenye malori, Kurasini, Dar es Salaam jana, ili kutokomeza uchanganywaji wa mafuta. GFI imeingia mkataba na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kutia alama ya vinasaba hivyo kwenye mafuta.